Komkyaa Nexus
Komkyaa Nexus: Where Ideas Unite, Perspectives Converge. Explore the Hub of Creativity and Connection.

Latest Posts
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Nurdin Babu amewataka wakusanyaji wa mapato katika Halmashsuri za Wilaya na Manispaa ya Moshi mkoani humo kukusanya kwa nidhamu na kuacha...
Idara ya Forodha na Ushuru inasimamia ushuru wote kwenye biashara ya kimataifa. Kodi hizo ni pamoja na Ushuru wa Kuagiza, Ushuru wa Bidhaa na Kodi ya Ongezeko la Thamani...
Moshi.Katika kuboresha upatikanaji wa huduma za afya, Serikali imetoa magari maalumu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) tano na kujenga vituo vitatu vya afya katika kipindi...
Moshi.Chama cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kwa tuhuma za kukiuka katiba na maadili ya chama...
MAMIA YA VIJANA WAJITOKEZA SHIRIMA ATAKA KAZI ZA RAIS ZISEMWE BILA KIFICHO Na Gift MongiMoshi Ni hatua ya matumaini hivyo ndiyo ilivyojitokeza kwa vijana mbalimbali...
Na Mwandishi- Kilimanjaro Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka Viongozi wa Kata na Wahudumu wa afya ngazi ya jamii...
Na Mwandishi wetu-KILIMANJARO Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameitaka jamii kupaza sauti kukemea vitendo...
Na Mwandishi Wetu. Moshi.Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi vijijini, mkoani Kilimanjaro, Yuvenal Shirima ...
Na Mwandishi wetu. Moshi.Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimeutaka umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) mkoani humo, kujipanga vizuri katika maeneo yao...