You are currently viewing Balozi Dkt. Nchimbi aongoza Mkutano wa Ndani wa wanachama wa CCM Kilimanjaro

Balozi Dkt. Nchimbi aongoza Mkutano wa Ndani wa wanachama wa CCM Kilimanjaro

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama wa CCM, wawakilishi wa makundi mbalimbali, Viongozi wa Chama na Jumuiya zake wa ngazi mbalimbali, kwenye mkutano wa ndani, uliofanyika Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Jumatano Juni 5, 2024, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambayo ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Oganaizesheni, Ndugu Issa Usi Haji Gavu, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Ndugu Rabia Hamid Abdalla, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI).

emmanuel

Komkya Nexus---- Komkya Nexus is a dynamic platform dedicated to delivering the latest in media updates, insightful blogs, and comprehensive business solutions. Our mission is to keep you informed and help your business thrive with expert content and innovative services. Join us and stay ahead in the ever-evolving world of media and business.

Leave a Reply