WAKUSANYAJI WA MAPATO NENDENI TARATIBU ACHENI UBABE
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Nurdin Babu amewataka wakusanyaji wa mapato katika Halmashsuri za Wilaya na Manispaa ya Moshi mkoani humo kukusanya kwa nidhamu na kuacha ubabe ambao unaweza kusababisha…