You are currently viewing KIPI CHANZO CHA HITILAFU SUBMARINE FIBER CABLES??

KIPI CHANZO CHA HITILAFU SUBMARINE FIBER CABLES??

➤Je, umewai kujiuliza mtandao unavyofanya kazi?

➤Cables za nyuzi za baharini ndizo mishipa ya habari ya dunia! Zina uwezo wa kubeba data zaidi ya mabilioni kwenye kidole chako kidogo.

Cable hizo huitwa SubmarineCable.

➤Mwaka wa 1850 ndio ilikuwa mara ya kwanza cable ya chini ya bahari kuwekwa kati ya Uingereza na Ufaransa. Ilikuwa na uwezo mdogo wa kubeba data, lakini ilikuwa hatua kubwa

➤Cable za mapema zilitengenezwa kwa waya za shaba na zilikuwa rahisi kuvunjika. Hivyo tatizo kama la leo

Kipindi cha nyuma lilikua common ni vile tuu ulikua hutumii vifaa vya kiteknolojia.

➤Thanks, kwa teknolojia nyanya za sasa hutengenezwa kwa nyuzi za fiber optic ambazo ni nyembamba na zenye uwezo mkubwa zaidi. Lakini hii haimaanishi kuwa ndo bora siku zote

➤Mtandao wa cable Za chini ya bahari una urefu wa zaidi ya kilomita milioni 1.2! Zinazunguka dunia na kuunganisha mabara.

➤Ingawa watu kadhaa walichangia maendeleo yake, mhandisi wa Uingereza John Watkins Brett anahesabiwa kuwa mvumbuzi mkuu.

➤Brett alifanikiwa kuweka cable ya kwanza ya chini.

Ya kwanza ya chini ya bahari kati ya Uingereza na Ufaransa mwaka wa 1850.

➤Cable nyingi zinamilikiwa na makampuni ya simu na watoa huduma za mtandao wa kimataifa.Baadhi ya wamiliki wakubwa ni pamoja Alcatel Submarine Networks,NEC Corporation,China Telecommunications Corporation

Serikali pia zina jukumu muhimu katika kusimamia na kudhibiti cable za chini ya bahari. Hii ni kwa sababu cable hizi zinapita katika maji ya kimataifa na zinaweza kuathiri usalama wa taifa na uchumi.

Namna zinavyofanya kazi?

➤Hizi nyuzi nyembamba Hutumia mwanga kusafirisha data kwa umbali mrefu. Mawimbi ya mwanga yanapita ndani ya nyuzi kwa njia ya kuakisi. Na hii ndo huitwa Teknolojia ya Fiber Optic.

➤Ili kulinda nyuzi hizi dhaifu, zimefunikwa katika tabaka kadhaa za kinga. Hii inajumuisha mipako, ngao za chuma. Naam

Tatizo kama lililotokea siku ya Jumapili si mara ya kwanza kutokea hapa kwetu Afrika Mashariki kama mnakumbuka

➤Mwaka 2020: Cable ya SEA-ME-WE 3 kati ya Asia Kusini-Mashariki na Afrika ilikatika, pia Mwaka 2012: Cable ya SMWE-4 kati ya Afrika Magharibi na Ulaya. Kenya nao 2009

Hitilafu hizi hutokana na mambo mbalimbali, kama vile uharibifu wa kimwili kwa cable, matatizo ya kiufundi, na hata matendo ya makusudi kama vile uharibifu. Kiufupi Serikali haihusiki kabisa na Changamoto hiyo.

➤Ijapokua inahusika kupunguza athari za kukatika kwa mawasiliano.

Hii inajumuisha uwekezaji katika miundombinu mbadala ya mawasiliano, kama vile satelaiti, na kuboresha usalama wa cable za chini ya bahari.

➤Wengi wamekua waki suggests utumizi wa satellite iko hivi Wazee ni kwamba zina Uwezo mdogo wa kubeba data, latency ya juu, ni gharama

Je VPN ni suluhu inapotokea changamoto ya kukatika au hitilafu ??

kutumia VPN kunaweza kukusaidia kupata intaneti hata kama cable za chini ya bahari zimeharibika katika baadhi ya matukio lakini sio uhakika. Inategemea mambo kadhaa, kama vile aina ya hitilafu, eneo lako,na mtoa

emmanuel

Komkya Nexus---- Komkya Nexus is a dynamic platform dedicated to delivering the latest in media updates, insightful blogs, and comprehensive business solutions. Our mission is to keep you informed and help your business thrive with expert content and innovative services. Join us and stay ahead in the ever-evolving world of media and business.

Leave a Reply