You are currently viewing MBUNGE AHOJI TIJA YA MAZAO YA KIBIASHARA NCHINI IKIWEMO KAHAWA..

MBUNGE AHOJI TIJA YA MAZAO YA KIBIASHARA NCHINI IKIWEMO KAHAWA..

Na Gift Mongi
Dodoma

Kahawa!Kahawa!Kahawa! ndio kwa sasa ni kilio kwa wawakilishi wanaotoka katika mikoa yenye kuzalisha zao hilo la kibiashara!

Tukumbuke yapo mengi ikiwemo chai,Pareto,Kokoa, zabibu,katani, na mengineyo

Safari sasa yaanza kuleta matumaini ndio tena matumaini makubwa tu maana wawakilishi wa wananchi wanaka suluhisho kwa wakulima wa kahawa!

Mfano mzuri ni mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ambaye aliuliza swali la msingi akihoji mpango wa serikali kurejesha utoaji wa ruzuku ya pembejeo ya dawa kwa wakulima wa kahawa

Hata hivyo katika maswali ya nyongeza, Mbunge Ndakidemi alihoji mpango wa serikali kuhamasisha matumizi ya dawa za asili kupambana na wadudu pamoja na mikakati ya kurekebisha mifereji ya asili ili kuwezesha umwagiliaji kwenye mashamba ya kahawa ya wakulima*.

Kutokana na maswali hayo sasa serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Kilimo Mh David Silinde kama ifuatavyo

Mwisho.

Leave a Reply