You are currently viewing RAIS SAMIA AZINDUA BARABARA YA SUMBAWANGA – MATAI – KASANGA MKOANI RUKWA.

RAIS SAMIA AZINDUA BARABARA YA SUMBAWANGA – MATAI – KASANGA MKOANI RUKWA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 16,2024 amezindua Barabara ya kiwango Cha lami kutoka Sumbawanga – Matai mpaka Kasanga wakati wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Rukwa.

Ujenzi wa Barabara hiyo yenye urefu wa Km 107 umegharimu takribani Shilingi Bilioni 150.

emmanuel

Komkya Nexus---- Komkya Nexus is a dynamic platform dedicated to delivering the latest in media updates, insightful blogs, and comprehensive business solutions. Our mission is to keep you informed and help your business thrive with expert content and innovative services. Join us and stay ahead in the ever-evolving world of media and business.

Leave a Reply