You are currently viewing Dkt. Nchimbi Aongoza Mkutano Wa Ndani Wa Wanachama Na Viongozi Wa CCM, Same

Dkt. Nchimbi Aongoza Mkutano Wa Ndani Wa Wanachama Na Viongozi Wa CCM, Same

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wa ndani na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Same, leo Ijumaa, Juni 7, 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku nne ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla ya mkutano huo, Balozi Nchimbi alisimikwa kuwa mmoja wa mmoja wa Wafumwa (Chifu) wa Kabila la Wapare.

Dkt Nchimbi ameongozana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Rabia Hamid Abdallah pamoja na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Issa Ussi Gavu.

Leave a Reply