Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afya, Malezi na Mazingira Baraza Kuu la Umoja wa WAZAZI CCM Taifa akabidhi tofari 1,000 ujenzi wa nyumba ya mtumishi
NA KIJA ELIAS, MWANGA. Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afya, Malezi na Mazingira ya Baraza Kuu la Umoja wa WAZAZI (CCM) Taifa, Bi. Catherine Ndamalya, amemkabidhi Katibu wa CCM Mkoa…