You are currently viewing WAPINZANI HAWANA TOFAUTI NA MASHETANI KWASABABU HAWANA SHUKRANI ” ~ Mahanyu

WAPINZANI HAWANA TOFAUTI NA MASHETANI KWASABABU HAWANA SHUKRANI ” ~ Mahanyu

Kibosho Magharibi;

Katibu wa Ccm wilaya ya Moshi vijijin akiendelea na Ziara pamoja na seckretariet yake amewaasa wananchi wa kibosho tujitokeze kwa wingi kwenye kujiandikisha daftari la wakaazi kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa,
lakini Pia amewakumbusha kujisajili kwa njia ya kieletronic iliuwee mwanachama halali wa Chama Cha Mapinduzi

Aidha Mahanyu amewasa wananchi kutoepukana na Wapinzani kwani wao hawana tofauti na Mashetani kwasababu hawana shukrani

“Tuchukue mifano ya miaka ya nyuma 2014 kwa maendeleo yetu, tuepukane na Wapinzani kwani hawanatofauti na Mashetani kwasababu hawana shukrani”

emmanuel

Komkya Nexus---- Komkya Nexus is a dynamic platform dedicated to delivering the latest in media updates, insightful blogs, and comprehensive business solutions. Our mission is to keep you informed and help your business thrive with expert content and innovative services. Join us and stay ahead in the ever-evolving world of media and business.

Leave a Reply