Komkyaa Nexus

Komkyaa Nexus: Where Ideas Unite, Perspectives Converge. Explore the Hub of Creativity and Connection.

Latest Posts

“WAGONJWA WANAHITAJI FARAJA KUTOKA KWA WAUGUZI” MHE. NDERIANANGA

Na Mwandishi- Kilimanjaro Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka Viongozi wa Kata na Wahudumu wa afya ngazi ya jamii...

MHE. NDERIANANGA AITAKA JAMII KUVUNJA UKIMYA VITENDO VYA UKATILI

Na Mwandishi wetu-KILIMANJARO Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameitaka jamii kupaza sauti kukemea vitendo...

Shirima: Vijana tusitengenezeane ajali za kisiasa, tushikamane kuitafutia CCM ushindi

Na Mwandishi Wetu. Moshi.Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi vijijini, mkoani Kilimanjaro, Yuvenal Shirima ...

Umoja wa Vijana Jipangeni vizuri katika maeneo yenu kwa ajili ya Uchaguzi

Na Mwandishi wetu. Moshi.Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimeutaka umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) mkoani humo, kujipanga vizuri katika maeneo yao...

MBUNGE MOSHI VIJIJINI AENDELEA NA ZIARA KUJAGUA MIRADI YA MAENDELEO..

Na Gift MingiMoshi Mradi wa skimu ya umwagiliaji ya Mandaka Mnono uliopo katika jimbo la Moshi Vijijini unaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 5.1 umetajwa kuleta...

MHE. SHALLY RAYMOND AHAMASISHA WANAWAKE USHIRIKI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Kufuatia Tangazo la serikali la kuanza kutoa mikopo ya asilimia 10 inayotengwa na halmashauri kote nchini lililotolewa Mwezi Julai mwaka huu, Mbunge wa Viti maalum kutoka...

MBUNGE WA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI PROFESA PATRICK NDAKIDEMI AONGOZANA NA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. MKENDA ALIPOTEMBELEA CHUO CHA UFUNDI STADI KIBOSHO.

Na Gift MongiMoshi Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi tarehe 31.07.2024 aliambatana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof. Adolf...

UVCCM Moshi vijijini, Wakiwasha Mabogini

Na Mwandishi Wetu Moshi.Umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi, (UVCCM) Wilaya ya Moshi vijijini, imezindua operesheni ya tunazima zote tunawasha ya Kijani hadi...

NAIBU WAZIRI UMMY ATAKA UHAMASISHAJI KWA WATU WENYE ULEMAVU KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUPIGA KURA..

NAIBU Waziri Ofisi Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga amewataka viongozi wa Umoja wa Waanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), kwa kushirikiana na viongozi wa...