CHANGAMKIENI ASILIMIA 10 ZA MIKOPO YA HALMASHAURI .
SOKO LA BWILINGU NI FURSA KWA KILA MTU AELEZA MHE. MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia…
SOKO LA BWILINGU NI FURSA KWA KILA MTU AELEZA MHE. MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia…
Na.Elisa Shunda, Dar Es Salaam.RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Katika Kilele cha…
Na Gift MongiDar es Salaam Kwa kipindi cha hivi karibuni viwanda vinavyojishughulisha na utengenezaji wa bidhaa mbali mbali kwa kutumia malighafi ya ngozi vilipita katika kipindi kigumu. Naam ni kweli…
Na Gift MongiDar es Salaam Baada ya kilio cha muda mrefu cha wazalishaji wa bidhaa za ngozi juu ya soko kuvamiwa na bidhaa bandia sasa mwarobaini umepatikana. Kupatikana kwa mwarobaini…
Na Gift MongiDar es Salaam Kwa siku za usoni wazalishaji wa ndani wa bidhaa za ngozi walikuwa wakikabiliwa na uingizwaji wa bidhaa bandia za ngozi kutoka nje jambo lililohatarisha uhai…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteuwa Dkt. Selemani Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi,…
Na Gift MongiMoshi KIKUNDI cha Kwaya ya Mtakatifu Agustino Cha Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mume wa Bikira Maria lililopo Mwenge - Longuo Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Jumapili tarehe 30.06.2024 kulifanyika…
Dokta Saleh bin Zainul Abedin Al Shebi, mtunzaji wa funguo za Kaaba ama Al-Kaaba, eneo takatifu zaidi kwa Waislamu, amefariki dunia. Inaaminika familia yake ilipata ufunguo huu wakati wa Mtume…
MJUMBE wa Kamati Kuu Chadema, Godbless Lema ameeleza kushtushwa na kusikitishwa na uamuzi wa aliyekuwa kada mwenzake wa cha hicho, Mchungaji Peter Msigwa kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM. Anaripoti Mwandishi…
Vingozi mbalimbali wa CCM wameaswa kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la mpiga kura katikati mwa mwezi julai ili ifikapo wakati wa Uchaguzi waweze kuwachagua Vingozi wanao wataka. Hayo yamezungumzwa…