RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MGENI RASMI MAADHIMISHO YA WIKI YA WAZAZI KITAIFA MKOANI KATAVI.
Na.Elisa Shunda, Dar Es Salaam.RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Katika Kilele cha…