DC ROMBO ATANGAZA OPARESHENI YA KUWATAMBUA WAGANGA WA KIENYEJI ROMBO.
NA WILLIUM PAUL, ROMBO. MKUU wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangwala ameagiza kufanyika Oparesheni maalum katika wilaya hiyo ili kuwatambua Waganga wote wa kienyeji waliopo wilayani humo pamoja…